DOWNLOAD ONE4ME BY PRYSHON - MP3, MP4 & LYRICS

One4me Lyrics

Hisia zimenikabili eh noma
Akili siwezi kubadili nashindwa
Fikira zimenizidi my love aah
Nahisi zimekidhiri nashindwa

Tama sihitaji nikate
Nitafanya vipimi nikupate
Maswali najiuliza, daily najiuliza

Nawe ndo ulonifanya nidate
Daily mi sitaki wanifuate 
Nisije kupoteza mwenzako utaniumiza

Kukupata wewe mi nitafanyaje (Acha umenizuzua)
Sipati jibu mi nitafanyaje (Acha umenizuzua)
Kukupata wewe mi nitafanyaje (Acha umenizuzua)
Sipati jibu mi nitafanyaje (Acha umenizuzua)

Girl you are the one4me, one4me
Girl you are the one4me, one4me one4me
Boy you are the one4me, one4me
Boy you are the one4me, one4me one4me

Why should I hide, what am feeling for you
I cannot lie what am feeling its true
Mi penzi lako linanipagawisha mi
Nitalihifadhi moyoni, usiwe mbali na mimi
Mi penzi lako linanipagawisha mi
Nitalihifadhi moyoni, usiwe mbali na mimi

Wanasema ndoto mi kuwa nawe
Eti bado mboga sijatosha ee
Hawajui mi nimenogewa ee
Penzi lako limenikolea ee