DOWNLOAD WASTAHILI BWANA BY REUBEN KIGAME - MP3, MP4 & LYRICS

Title Wastahili Bwana
Artists Reuben Kigame
Genres Gospel
Country Kenya

Wastahili Bwana Lyrics

Wastahili Bwana
Wastahili Bwana
Ulikufa msalabani
Niokolewe
Wastahili Bwana

Wastahili Bwana

Wastahili Bwana
Ulibeba mizigo yangu
Sasa ni huru
Wastahili Bwana
Uliacha utukufu wako
Ukaishi kati yetu kwa mapenzi
Ulipatwa na simamzi ulinifia
Wastahili Bwana

Wastahili Bwana
Wastahili Bwana
Ulikufa msalabani
Niokolewe
Wastahili Bwana

Wastahili Bwana
Wastahili Bwana
Ulibeba mizigo yangu
Sasa ni huru
Wastahili Bwana

Uliwekwa kaburini Bwana
Ukafufuka wewe Bwana wangu
Ulipaa juu mbinguni na watawala
Nakusifu Yesu

Wastahili Bwana
Wastahili Bwana
Ulikufa msalabani
Niokolewe
Wastahili Bwana

Wastahili Bwana
Wastahili Bwana
Ulibeba mizigo yangu
Sasa ni huru
Wastahili Bwana

Ulibeba
Ulibeba mizigo yangu
Sasa ni huru
Wastahili Bwana

Wastahili
Wastahili Bwana
Wastahili
Wastahili Bwana

Wastahili Bwana
Wastahili Bwana
Ulikufa msalabani
Niokolewe
Wastahili Bwana

Wastahili Bwana
Wastahili Bwana
Ulibeba mizigo yangu
Sasa ni huru
Wastahili Bwana
Wastahili
Wastahili Bwana