DOWNLOAD BABA MWAMINIFU BY RUTH WAMUYU - MP3, MP4 & LYRICS

Title Baba Mwaminifu
Artists Ruth Wamuyu
Genres Gospel
Country Kenya

Baba Mwaminifu Lyrics

Nilikulilia nikiwa na huzuni nyingi
Uketiye juu, umetenda
Umenirudishia furaha ya wokovu
Hallelujah ahadi zako ni za kweli

Uhimidiwe, ushukuriwe
Usifiwe Baba mwamifu
Uhimidiwe, ushukuriwe
Usifiwe Baba mwamifu

Tabibu wa moyo wewe hauchelewi
Niliona kama nitashindwa
Kumbe kwa haraka umeniondolea
Dhihaka ya watesi Hallelujah usifiwe

Uhimidiwe, ushukuriwe
Usifiwe Baba mwamifu
Uhimidiwe, ushukuriwe
Usifiwe Baba mwamifu

Wateule wote zidini kujitia moyo
Hata kama bado hajatenda
Yeye hachelewi ni baba mwaminifu
Si mwingi wa hasira anatupenda sisi sote

Uhimidiwe, ushukuriwe
Usifiwe Baba mwamifu
Uhimidiwe, ushukuriwe
Usifiwe Baba mwamifu

Uhimidiwe, ushukuriwe
Usifiwe Baba mwamifu
Uhimidiwe, ushukuriwe
Usifiwe Baba mwamifu