DOWNLOAD NITASIMAMA TENA BY SAINT STEVOH, SANNY MUSIC - MP3, MP4 & LYRICS

Nitasimama Tena Lyrics

Machozi nililia jana 
Sitalia tena
Kwani Mungu amenipigania vita
Nitasimama tena

Machozi nililia jana 
Sitalia tena
Kwani Mungu amenipigania vita
Nitasimama tena

Nitasimama, tena 
Nitasimama, tena na tena
Nitasimama, tena 
Nitasimama, tena na tena

I remember the other day
Sikuwa na pesa, place to stay
Lakini Mungu you made a way
Nikasimama tena

Nakumbuka ni juzi tu
Magoti nikimlilia Mungu
Jehovah Jire He made a way
Nikasimama tena

Huh usicheke nikianguka
A righteous man imeandikwa utainuka
Ata mara saba Mungu atakumbuka
Methali 24:16 limeandikwa

Agano langu na Mungu wangu
Aibu yangu kwa sasa si mwisho wangu
There is a hope future iko secure
Sababu vita vyangu mwokozi anavijua

Machozi nililia jana 
Sitalia tena
Kwani Mungu amenipigania vita
Nitasimama tena

Machozi nililia jana 
Sitalia tena
Kwani Mungu amenipigania vita
Nitasimama tena

Nitasimama, tena 
Nitasimama, tena na tena
Nitasimama, tena 
Nitasimama, tena na tena

Kupitia kwa neno lako
Nimepata neema
Mimi nitasimama tena 
Umenitenda mema

Kazi ya msalaba na nguvu zako
Zimenifanya mimi nitasimama tena
Zimenifanya mimi mwana wako
Nitasimama tena

Kilichokulwa na zige
Bwana arudisha tena 
Kilichokulwa na zige
Bwana arudisha tena 
Arudisha, tena

Machozi nililia jana 
Sitalia tena
Kwani Mungu amenipigania vita
Nitasimama tena

Machozi nililia jana 
Sitalia tena
Kwani Mungu amenipigania vita
Nitasimama tena

Nitasimama, tena 
Nitasimama, tena na tena
Nitasimama, tena 
Nitasimama, tena na tena

Nitasimama, tena 
Wewe wanijua Mungu wangu Baba wee

Machozi nililia jana 
Sitalia tena
Kwani Mungu amenipigania vita
Nitasimama tena

Machozi nililia jana 
Sitalia tena
Kwani Mungu amenipigania vita
Nitasimama tena

Nitasimama, tena 
Nitasimama, tena na tena
Nitasimama, tena 
Nitasimama, tena na tena