DOWNLOAD KUNITEMA BY SANAIPEI TANDE - MP3, MP4 & LYRICS

Kunitema Lyrics

Mapenzi kunipofua kiziwi mi kanifanya
Amini kugombana ni kawaida
Nyumbani wanakazana, ndivyo inavyotakikana
Subutu aibu na laaana

Nimekaa aaah 
Toneshwa kidonda machozi kulowa usiku kucha
Nimekaa aaah 
Huzuni moyoni pa kwenda sioni ila hakomi

Miye miye miye
Sikutaki tena my lover oh na na na
Nami sikulilii tena my lover oh na na 
Wala sikuwazi tena my lover oh na na na
Ila kwako nasema asante sana kunitema

My lover oh nanana mmmh
Oh nanana mmmh
Oh nanana asante sana kunitema

My lover oh nanana mmmh
Oh nanana mmmh
Oh nanana asante sana kunitema

Akufukuzaye haneni ondoka
Kukusinya ukachoka
Chunga utu kukutoka

Nimekaa aaah 
Toneshwa kidonda machozi kulowa usiku kucha
Nimekaa aaah 
Huzuni moyoni pa kwenda sioni ila hakomi

Wacha wacha waseme nina umang'aa
Wacha wacha waseme bora furaha
Wacha wacha waseme maziwa lala
Wacha wacha waseme bora furaha

Sikutaki tena my lover oh na na na
Nami sikulilii tena my lover oh na na 
Wala sikuwazi tena my lover oh na na na
Ila kwako nasema asante sana kunitema

My lover oh nanana mmmh
Oh nanana mmmh
Oh nanana asante sana kunitema

My lover oh nanana mmmh
Oh nanana mmmh
Oh nanana asante sana kunitema