DOWNLOAD MDAKA MDAKIWA BY SANAIPEI TANDE - MP3, MP4 & LYRICS

Title Mdaka Mdakiwa
Artists Sanaipei Tande
Genres Afropop
Country Kenya

Mdaka Mdakiwa Lyrics

Aje aje, aje nimpende
Aje aje, aje nimpende

Nimeshayasikia mwanamke kamilika (Aah)
Ni yule aleolewa na kuanza familia (Aah)
Ninaye nimpendaye, ameshindwa na kunena eeh (Aah)
Ana zake tu haya naifahamu si ulaghai (Aah ah ah ah)

Nami si lai lai lai
Kwa kuwa wadai dai dai
Mwanamke hafai fai fai
Kujaribu anapopata kigae chake

Mdaka mdakiwa, mdaka mdakiwa aaah
Mdaka mdakiwa, kwanini mdaka asiwe mdakiwa?
Mdaka mdakiwa, mdaka mdakiwa aaah
Mdaka mdakiwa, kwanini mdaka asiwe mdakiwa?

Aje aje, aje nimpende
Aje aje, aje nimpende

Nataka mkaribia nimwambie jinsi 
Anavyotia moyo wangu joto, ooh ooh
Ila sitaki mi kumwaibisha 
Nina haja tu ya kumhamsisha
Akubali awe wangu na pete kunivisha

Nami si lai lai lai
Kwa kuwa wadai dai dai
Mwanamke hafai fai fai
Kujaribu anapopata kigae chake

Mdaka mdakiwa, mdaka mdakiwa aaah
Mdaka mdakiwa, kwanini mdaka asiwe mdakiwa?
Mdaka mdakiwa, mdaka mdakiwa aaah
Mdaka mdakiwa, kwanini mdaka asiwe mdakiwa?

Aje aje, aje nimpende
Aje aje, aje nimpende

Dunia inageuka, geuka geuka nami
Mambo nayo yageuka, geuka geuka nami
Mila nazo zageuka, geuka geuka nami
Watu nao wageuka, geuka geuka nami

Dunia inageuka, geuka geuka nami
Mambo nayo yageuka, geuka geuka nami
Mila nazo zageuka, geuka geuka nami
Watu nao wageuka, geuka geuka nami

Gege!