DOWNLOAD MFALME WA MAPENZI BY SANAIPEI TANDE - MP3, MP4 & LYRICS

Title Mfalme wa Mapenzi
Artists Sanaipei Tande
Genres Afro-soul
Country Kenya

Mfalme wa Mapenzi Lyrics

Uuu ahhha baby
Malaika zangu za inuka kila anapo niguza
Pumzi nazo mi zaniishia kila anapo nidadisia
Vile ata nipenda
Vile ata niroga
Vile ata niliza 
Vile ata
Anapo nibusu uuu
Anapo nilaza chini iii
Na anapo nipapasa aaa
Ni dhahiri shahiri
Nimepata Mfalme wa mapenzi
Hamna mwingine akaribiaye mbinu Zake
Nimempata Mfalme wa mapenzi
Hamna mwingine ila ye.
A Ni faye
Yu wafanya Kwa utaratibu
Yoja wamaliza nguvu
Sina budi ila kumruhusu
Anipe sumu.
Anapo nibusu uuu.
Anapo nilaza chini iii
Na anapo nipapasa aaa
Ni dhahiri shahiri
Nimepata Mfalme wa mapenzi
Hamna mwingine akaribiaye mbinu Zake
Nimempata Mfalme wa mapenzi
Hamna mwingine ila ye a ni faye
Ni wie radhi
Sio ati ni mara ya kwanza
Kufanya mapenzi
Lakini bila shaka
Hamna mwingine kama yeye
Nimepata Mfalme wa mapenzi Hamna mwingine akaribiaye mbinu Zake
Nimempata Mfalme wa mapenzi Hamna mwingine ila ye a ni faye