DOWNLOAD MBELE NINAENDELEA BY SARAH KIARIE - MP3, MP4 & LYRICS

Title Mbele Ninaendelea
Artists Sarah Kiarie
Genres Gospel
Country Kenya

Mbele Ninaendelea Lyrics

Mbele ninaendelea ninazidi kutembea
maombi uyasikie eeh bwana unipandishe

Ee bwana uniinue kwa imani nisimame
nipande milima yote ee bwana unipandshe

Si natamani nikae mahali pa shaka kamwe
hapo wengi wanakaa kuendelea naomba
Nisikae duniani ni mahali pa shetani
natazamia mbinguni nitafika kwa imani

Ee bwana uniinue kwa imani nisimame
nipande milima yote ee bwana unipandshe

Nataka nipandishwe juu zaidi yale mawingu
nitaomba nifikishwe ee bwana unipandishe
Nataka nipandishwe juu zaidi yale mawingu
nitaomba nifikishwe ee bwana unipandishe

Ee bwana uniinue kwa imani nisimame,
nipande milima yote ee bwana unipandshe