DOWNLOAD NITAINGIA LANGO BY SARAH WANGUI - MP3, MP4 & LYRICS

Title Nitaingia Lango
Artists Sarah Wangui
Genres Gospel
Country Kenya

Nitaingia Lango Lyrics

Wakati nitajikuta mbinguni kwa baba
Nitajua ya ulimwengu nimeshayaacha
Halleluya nitasifu kufika mbinguni
Hossana nitaingia kwa shangwe

Nitaingia lango lake na sifa moyoni
Nitaingia kwa shangwe kuu
Nitasema ni siku njema bwana ameifanya
Nitafurahi kufika mbinguni

Nchi nzuri nchi safi kwa baba yangu
Kuna amani kuna furaha uko ni kusifu
Tutakaa na mungu wetu nchi ya amani
Hossana nitaingia kwa shangwe

Nitaingia lango lake na sifa moyoni
Nitaingia kwa shangwe kuu
Nitasema ni siku njema bwana ameifanya
Nitafurahi kufika mbinguni

Nitawaona watakatifu manabii wote
Hata mitume nchi hiyo nitawaona
Tutakula meza moja nchi ya amani
Hossana nitaingia kwa shangwe

Nitaingia lango lake na sifa moyoni
Nitaingia kwa shangwe kuu
Nitasema ni siku njema bwana ameifanya,
Nitafurahi kufika mbinguni