DOWNLOAD SAWA COVER (JUX) - MP3, MP4 & LYRICS

Title Sawa Cover (Jux)
Artists
Genres Bongo Flava
Country Tanzania

Sawa Cover (Jux) Lyrics

Mbona kama cha mapinzani
Kila siku matatizo
Inaniadhiri ndani kwa ndani
Naikosa chanjo oh hoo

Acha visa nazo unanikula moyo
Usingizi sipati 
Kisa kwako sina maamuzi
Mdomo koma umenipa upofu wa moyo
Jicho la nazi, kwako sioni

Nimeshika makali mimi wewe (Sawa)
Mami love mami love (Sawa)
Mami love mami love

Unikate vipande vipande (Sawa)
Mami love mami love (Sawa)
Mami love mami love

Huishiwi kisirani
Yaani kila muda umenuna
Sasa mimi nitaongea na nani?
I wish ungejua navyoumwa

Yaani bora nilewe, usingizi sipati 
Kisa kwako sina maamuzi
Mdomo koma umenipa upofu wa moyo
Jicho la nazi mama, kwako sioni

Nimeshika makali mimi wewe (Sawa)
Mami love mami love (Sawa)
Mami love mami love

Unikate vipande vipande (Sawa)
Mami love mami love (Sawa)
Mami love mami love