DOWNLOAD SHOW TIME BY SELINE - MP3, MP4 & LYRICS

Show Time Lyrics

Show me love baby
Show me love eeh
Zima taa babe
Nichanje chale

Oh wangu mume tia bata sare
Sina say, kiba nalala
Nikitoka vipele nakuona
Chumvi sangara

Shoka litamu asali mbichi
Usiku akipanda kiti
Ukichoka unanipa kijiti
Aii wee

Nikisema su unatwanga mwichi
Kwenye paper hunifelishi
Dusu kwa dusu tumepinga niki
Nateleza kambale

Nipe show time
Show time, show time
Mwendo wa show time
Show time, show time

Nipe show time
Show time, show time
Mwendo wa show time
Show time, show time

Chuchu nachuchumia
Fungua koki naogelea
Tuma mabomu ya nuclear
Achia body mi nalegea

Oh baby sishindani nawe
Mi kwako mjinga
Baby sishindani nawe
Umenifunga

Shoka litamu asali mbichi
Usiku akipanda kiti
Ukichoka unanipa kijiti
Aii wee

Nikisema su unatwanga mwichi
Kwenye paper hunifelishi
Dusu kwa dusu tumepinga niki
Nateleza kwa mbali

Nipe show time
Show time, show time
Mwendo wa show time
Show time, show time

Nipe show time
Show time, show time
Mwendo wa show time
Show time, show time