DOWNLOAD AHERI BY SERRO - MP3, MP4 & LYRICS

Aheri Lyrics

Mmmmhh mmmmh
Mmmmhh mmmmh
Mmmmhh mmmmh

Uliniahidi maisha yaliyo na raha
Na ukaniahidi maisha bila mashaka
Ni nini ilitendeka baada ya ndoa
Ni nini ilitendeka baada ya kupa we wana

Kila siku mimi nilimuomba mwenyezi
Anipe mume atakaye ni enzi
Ingawaje vigumu kunipa lako penzi
When you promised me to be the only lady

Aheri, Aheri
Aheri ga, amanyi ga, agombi ga
Aheri, Aheri
Aheri, aheri, aheri...

Aheri, Aheri, aheri
Aheri, Aheri eeeh
Aheri, Aheri oooh...

Aheri aheri aheri
Aheri aheri aheri

Uliniahidi mapenzi 
Nienzi ooh cherry
Na mimi nikakuahidi mapenzi
Kwenye faraja na dhiki

Ni vipi saa sikuelewi
Shida sio umasikini daddy
Mapenzi pilipili 
Tena kageuka shubiri

Lakini bado nakupenda
Sitawai kuacha
Tufurahie pamoja
Hata kama kwa bodaboda

Bado nakupenda
Sitawai kuacha
Tufurahie pamoja
Hata kama kwa bodaboda

Aheri, Aheri
Aheri ga, amanyi ga, agombi ga
Aheri, Aheri
Aheri, aheri, aheri...

Aheri, Aheri, aheri
Aheri, Aheri eeeh
Aheri, Aheri oooh...

Aheri aheri aheri
Aheri aheri aheri

Ninakuenzi mpenzi
Ninakuenzi my beiby
Stay with me with our family
Oooh I love you

My beiby I love you my love