DOWNLOAD AHIKO BY SERRO - MP3, MP4 & LYRICS

Ahiko Lyrics

Kina dada hoyee
Harusi tunayo hatuna
Aache, aache hoya
Mtoto wetu anaolewa leo
Na mi naona tumuimbie huyu dada
Tumuimbie basi eeh

Kwa kweli leo ni siku yako
Umejipodoa umependeza
Wajomba na wazazi wako
Washapokea ile posa

Basi na wewe jitokeze
Jioneshe kwa wenzako
Na utembee polepole
Mwisho we atazoea

Enda naye polepole
Mwisho we atazoea
Enda naye polepole
Mwisho we atazoea

Anavyocheza cheza cheza
Anavyoringa ringa ringa
Anavyojitembeza
Kweli anapendeza

Anavyocheza cheza cheza
Anavyoringa ringa ringa
Anavyojishaua
Mwishowe utamzoea

Ahiko, Ahiko
---
----

Anavyocheza cheza cheza
Anavyoringa ringa ringa
Anavyojitembeza
Kweli amependeza

Anavyocheza cheza cheza
Anavyoringa ringa ringa
Anavyojishaua
Mwishowe utamzoea

Maana ng'ala ng'ala thio
Anang'ala ng'ala 
Maana ng'ala ng'ala thio
Anang'ala ng'ala

---
----