DOWNLOAD BARUA KWA WAKENYA BY SERVANT BOYS - MP3, MP4 & LYRICS

Title Barua Kwa Wakenya
Artists Servant Boys
Genres Gospel
Country Kenya

Barua Kwa Wakenya Lyrics

Vilio na sauti za wakenya zimefika mbinguni
Milango ya rehema imefunguliwa
Machozi ya wanyonge waliodhulimiwa
Duniani

Dua zao zote zitajibiwa
Watoto wanalia njaa a-a-a
Wazazi wao wamefutwa kazi
Mipaka nayo yote imefungwa a-a-a
Hatuwezi onana na ndugu zetu

Tumaini kama taifa limedidimia
Shida tunazopitia Mungu saidia
Tumaini kama taifa limedidimia
Shida tunazopitia Mungu utusaidie

Tumaini kama taifa limedidimia
Shida tunazopitia Mungu saidia
Tumaini kama taifa limedidimia
Shida tunazopitia Mungu utusaidie

Itakua sawa, itakua sawa, itakua sawa (Kenya nisikie) 
Itakua sawa, itakua sawa, itakua sawa Vumulia) 
Itakua sawa, itakua sawa, itakua sawa (Kenya nisikie) 
Itakua sawa, itakua sawa, itakua sawa Vumulia)

Idadi ya waumini kanisani imepungua
Wanafunzi mashuleni ndoto zao zimefifia
Madakitari nao uoga umetawala
Giza limetanda taharuki tunaogopana

Bei za bidhaa zimepanda (Panda)
Uchumi kila kona unazorota
Tukimbilie wapi Kenya
Bei za bidhaa zimepanda

Uchumi kila kona unazorota
Mungu tawala taifa tunakulilia