DOWNLOAD SUGUA GAGA BY SHAA - MP3, MP4 & LYRICS

Title Sugua Gaga
Artists Shaa
Genres Bongo Flava
Country Tanzania

Sugua Gaga Lyrics

Wewe nyambonde mimi nyasumi
Mataziko yetu hayafanani
Wewe nyambonde mimi nyasumi
Mataziko yetu hayafanani

Kama una shida unamwambia nani
Watu wanacheza mambo hadharani
Kama una shida unamwambia nani
Hata me za kwangu nimeacha nyumbani
Hatufanani, hatulingani
Hatufanani, hatulingani
Jiachie full mwanawani
Mshike mwenzio nkono kiunoni
Wote jiachie full mwanawani
Mshike mwenzio nkono kiunoni
Tufanane
Usihofu hasara hasara
Hakuna kulala kulala
Usihofu hasara hasara
Hakuna kulala kulala
Usihofu hasara hasara
Hakuna kulala kulala

Kama shida tumezaliwa nazo
Njaa isiwe kkwazo tukazeni mjini mipango
(Njoo tuzisahau shida)
Kama shida tumezaliwa nazo
Njaa isiwe kikwazo tukazeni mjini mipango
(Njoo tuzisahau shida)
Kama kucheza tunacheza wote
(Njoo tuzisahau shida)
Na kama kucheza tunacheza wote
(Njoo tuzisahau shida)
Hata kuimba tunaimba wote
(Njoo tuzisahau shida)

Sina gari na nyumba ila wema nnao
Sina gari na nyumba ila wema nnao
Unataka kushindana na mimi (huwezi)
Maisha yangu uswahilini (siishi mbezi)
Unataka kushindana na mimi (huwezi)
Maisha yangu uswahilini (siishi mbezi)

Hii ni serikali ya kiswazi bibi
Usije ukang’oka meno sababu ya uchu
Inakuhusu?
Wao wana dollar mmh
Si tuna visenti, Inakuhusu?
Usije ukang’oka meno sababu ya uchu

Kwanini usipende , kwanini usiende
Kwanini usicheze kwanini usicheze
Kwanini usipende , kwanini usiende
Kwanini usicheze
Wengine chakala chalala mashetani yamepanda (yamepanda)
Ameshika usinga, kanasa kwenye kibanda (kibanda)
Chakala chalala mashetani yamepanda (yamepanda)
Ameshika usinga, kanasa kwenye kibanda (kibanda)
Kibanda, kibandaa
Kama shida tumezaliwa nazo njaa isiwe kikwazo
Tukazeni mjini mipango
(Njoo tuzisahau shida)
Kama shida tumezaliwa nazo
Njaa isiwe kikwazo tukazeni mjini mipango
(Njoo tuzisahau shida)
Kama kucheza tunacheza wote
(Njoo tuzisahau shida)
Kama kuimba tunaimba wote
(Njoo tuzisahau shida)
Kama kucheza tunacheza wote
(Njoo tuzisahau shida)
Hata kuimba tunaimba wote
(Njoo tuzisahau shida)

Sugua gaga, sugua gaga
Sugua gaga, sugua gaga
Sugua gaga, sugua gaga
Sugua gaga, sugua gaga
Sugua gaga, sugua gaga
Sugua gaga, sugua gaga

Usihofu hasara hasara
Hakuna kulala kulala
Usihofu hasara hasara
Hakuna kulala kulala