DOWNLOAD KIDOE BY SHANGWE VOICES - MP3, MP4 & LYRICS

Kidoe Lyrics

Kidoe eeh kidoe

Mtenda miujiza yuko hapa leo
Amebeba majibu ya maswahli yangu
Napokea miujiza kwa imani Yangu
Ninamfurahia huyu yesu wangu

Mtenda miujiza yuko hapa leo
Amebeba majibu ya maswahli yangu
Napokea miujiza kwa imani Yangu
Ninamfurahia huyu yesu wangu

Napokea majibu Napokea majibu
Napokea majibu Napokea majibu
Napokea majibu Napokea majibu
Kutoka kwa Yesu Napokea majibu
Kwa imani Yangu Napokea majibu

Nacheza kidoe Nacheza kidoe
Nacheza kidoe Nacheza kidoe
Nacheza cheza kidoe
Iye iye kidoe na kidoe
Nacheza kigogo nacheza kidogo

Yahweh Yahweh
Yelele yelele ma
Buye Buye Yahweh Yahweh

Nacheza kidoe Nacheza kidoe
Nacheza kidoe Nacheza kidoe
Nacheza cheza kidoe