DOWNLOAD SHAMRA SHAMRA REFIX BY SHANTY FLAMES - MP3, MP4 & LYRICS

Title Shamra Shamra Refix
Artists Shanty Flames
Genres Gengeton
Country Kenya

Shamra Shamra Refix Lyrics

Hako kaboy kafiti jo kameweza
Kitam tam kinyam kitam tam
Hufiki bei aki huyu ni magendo
Boy ni ka vibe kanapenda aki wa ghetto

Doba ni kali uliza makurutu gang gang
Imebaki shangwe kelele na nderemo (Wueeeh)
Shamra shamra kelele na nderemo (Ayayaaya)
Shamra shamra kelele na nderemo (Wueeeh)

Kitam tam kinyam kitam tam kinyam
Kitam tam kelele na nderemo
Kinyam nyam kitam, kinyam nyam kitam
Kinyam nyam  kelele na nderemo

Si dem ni mejja nawakunywa bila tumbla
Na hunipati hata na vibes za kanga
Ati kichwa tu kwani wewe ni makanga
Nifollow Insta sikupi hio namba

Kiherehere na kweli utawezana (Utawezana?)
Ju mi ni yule mama yako alikukanya (Alikukanya)
Fika bei ndo tuweze kupatana 
Ati fair game mi si refa wa bandana

Hako kaboy kafiti jo kameweza
Kitam tam kinyam kitam tam
Hufiki bei aki huyu ni magendo
Boy ni ka vibe kanapenda aki wa ghetto

Doba ni kali uliza makurutu gang gang
Imebaki shangwe kelele na nderemo (Wueeeh)
Shamra shamra kelele na nderemo (Ayayaaya)
Shamra shamra kelele na nderemo (Wueeeh)

Kitam tam kinyam kitam tam kinyam
Kitam tam kelele na nderemo
Kinyam nyam kitam, kinyam nyam kitam
Kinyam nyam  kelele na nderemo

Boy ni ka vibe kanapenda tu wa ghetto
Hapendagi machuom cheki ye hunipea joto
Si  boy si ni wangu mi nitampenda kimangoto
Na kama una usoro mi nitakupa tu viboko

Ah si tafadhali mi huwanga sibishagi
Na kama ni yangu utanipa kama wewe hutaki
Ah lugha ni sheng we tembeza ka huradi
Na kama ameweza ni mteja hapatikani
Hako kaboy kafiti jo kameweza
Kitam tam kinyam kitam tam
Hufiki bei aki huyu ni magendo
Boy ni ka vibe kanapenda aki wa ghetto

Doba ni kali uliza makurutu gang gang
Imebaki shangwe kelele na nderemo (Wueeeh)
Shamra shamra kelele na nderemo (Ayayaaya)
Shamra shamra kelele na nderemo (Wueeeh)

Kitam tam kinyam kitam tam kinyam
Kitam tam kelele na nderemo
Kinyam nyam kitam, kinyam nyam kitam
Kinyam nyam  kelele na nderemo