DOWNLOAD AMEUWEZA BY SHAYO, SIZE 8 REBORN - MP3, MP4 & LYRICS

Ameuweza Lyrics

Hapo zamani mapenzi 
Yaliutatiza moyo wangu
Waliniumiza wapenzi wengi 
Kwa kunidanganya danganya

Wakauchezea moyo wangu
Wakanigeuza kama jalala
Wakajeruhi moyo wangu
Nikahisi maumivu mengi

Ndipo Yesu, kaja kauganga moyo
Kaondoa maumivu akanipa upendo
Amejawa na huruma tena na rehema
Amejawa na fadhili wacha nimwimbie ni Yesu eh

Ni Yesu, ni Yesu pekee
Ni Yesu, ni Yesu pekee
Ameuwezaa moyo wangu mie 
Ameuwezaa

Ni Yesu, ni Yesu pekee
Ni Yesu, ni Yesu pekee
Ameuwezaa moyo wangu mie 
Ameuwezaa

Nikikumbuka ulikonitoa
Ulikonitoa aah
Milima na mabonde ulivyonibeba
Ulivyonibeba aah

Pale nilipochoka
Ukaniambia mwanangu songa mbele
Neema yangu tosha 
Mwanangu songa mbele eiyee eh

Hautajaribiwa kuliko uwezo wako
Hautajaribiwa mwanangu songa mbele
Songa mbele, songa mbele 
Mwanangu songa mbele

Ni Yesu, ni Yesu pekee
Ni Yesu, ni Yesu pekee
Ameuwezaa moyo wangu mie 
Ameuwezaa

Ni Yesu, ni Yesu pekee
Ni Yesu, ni Yesu pekee
Ameuwezaa moyo wangu mie 
Ameuwezaa

Ni Yesu, ni Yesu pekee
Ni Yesu, ni Yesu pekee
Ameuwezaa moyo wangu mie 
Ameuwezaa

Ni Yesu, ni Yesu pekee
Ni Yesu, ni Yesu pekee
Ameuwezaa moyo wangu mie 
Ameuwezaa