DOWNLOAD BONGE LA TOTO BY SHETTA - MP3, MP4 & LYRICS

Title Bonge la Toto
Artists Shetta
Genres Bongo Flava
Country Tanzania

Bonge la Toto Lyrics

Okey uh, toto shape toto guu guu
Kila unapopita watu macho juu juu
Baby ka umebeba kichuguu
Alafu chuchu ndogo kama vichuguu

Haha, enjoy kuwa na mimi ma
Mwili wako nifunike na madini ma
Safari ya angani na majini ma
Mi ndio king we ndio queen ma

Have it baby pie, my baby bi millionare
Vikao vyangu mawaziri na ma mayor
Zinaletwa ndoa mmezifill ma Bellaire
Matumizi bei juu na bill tunagombea

Shoga zako unawatesa
Hawapendi kukuona na Shetta
Tunavyozitumia pesa
Enjoy baby wala wasikupe pressure

Okey, bonge la toto mama
Wanipa vyote we ni bonge la toto mama
Chii, bonge la toto mama
Nakupenda zaidi, we ni bonge la toto mama

Mami mi ni billionaire
Nifilisi hadi nirudi kwenye u millionaire
Tafuta ki ben 10 ukihonge
Ila nikikifuma aisee kisiombe

Jua nakuzimia ma
Nataka tuzunguke hii dunia ma
Pesa kuzitumia ma
Tusisahau Serengeti Tanzania ma

Tukacheki nyati na swara
Pesa nyingi baby wala sipati hasara
Ikibidi ita na wenzako
Maana huwezi kumaliza peke yako

Shoga zako unawatesa
Hawapendi kukuona na Shetta
Tunavyozitumia pesa
Enjoy baby wala wasikupe pressure

Okey, bonge la toto mama
Wanipa vyote we ni bonge la toto mama
Chii, bonge la toto mama
Nakupenda zaidi, we ni bonge la toto mama

Bonge la toto mama
We ni bonge la toto mama
Bonge la toto mama
We ni bonge la toto mama