DOWNLOAD SHUKURU - MP3, MP4 & LYRICS

Title Shukuru
Artists
Genres Afro-soul
Country Rwanda

Shukuru Lyrics

[CHORUS]
Shukuru Mungu Shukuru Mungu
Maisha yako ni kwa neema zake
Siku zote ukiwa na Uzima
kumbuka kumshukuru
Siku zote ukiwa na Uzima
kumbuka kumshukuru

[VERSE 1]
Na wewe ni neema zinazokupa uhai
Maishani uliepuka mabaya mengi yaliyoweza kukuua
Lakini kwa neema za Mungu za kila mara akakurinda
kumbuka kushukuru kwa neema zake Mungu
Na wewe ni neema zinazokupa uhai
Maishani uliepuka mabaya mengi yaliyoweza kukuua
Lakini kwa neema za Mungu za kila mara akakurinda
kumbuka kushukuru kwa neema zake Mungu

[CHORUS]
Shukuru Mungu Shukuru Mungu
Maisha yako ni kwa neema zake
Siku zote ukiwa na Uzima
kumbuka kumshukuru
Siku zote ukiwa na Uzima
kumbuka kumshukuru

[VERSE 2]
Anatulinda hasinzii,huwa macho kila mara
Ingawa tunaona hatari,tukakata tamaa
Anakujya kutubembeleza tukaimba shukurani
Huigeuza huzuni yangu kuwa furaha
wakati wa kulia ukaisha nibaki nikiimba shukurani

[CHORUS]
Shukuru Mungu Shukuru Mungu
Maisha yako ni kwa neema zake
Siku zote ukiwa na Uzima
kumbuka kumshukuru
Siku zote ukiwa na Uzima
kumbuka kumshukuru
Shukuru Mungu Shukuru Mungu
Maisha yako ni kwa neema zake
Siku zote ukiwa na Uzima
kumbuka kumshukuru
Siku zote ukiwa na Uzima
kumbuka kumshukurU