DOWNLOAD BABA YETU BY SIFA VOICES - MP3, MP4 & LYRICS

Title Baba Yetu
Artists Sifa Voices
Genres Gospel
Country Kenya

Baba Yetu Lyrics

Baba yetu wa mbinguni tunaleta sifa kwako
Wewe hulinganishwi na yeyote duniani
Mbingu na nchi zakusifu jua na mwezi vyakutukuza
Hoiye Sifa zetu Hoiye ni zako zote
Hoiye Usifiwe Hoiye Milele Bwana
Tukiomba kwako Baba sikio lako li wazi kwetu
Macho yako yatuona sisi watoto wako
Ulimtoa Yesu mwana wako wa pekee
Alikufa msalabani sasa tuko huru