DOWNLOAD NINA HAJA NA WEWE BY SIFAELI MWABUKA - MP3, MP4 & LYRICS

Title Nina Haja na Wewe
Artists Sifaeli Mwabuka
Genres Gospel
Country Tanzania

Nina Haja na Wewe Lyrics

Ni wengi wameniandama kila kona usiku na mchana 
Baba peke yangu mimi sitoweza
Mitego wameiweka kwenye njia zangu Yesu
Baba peke yangu mimi sitoweza

Ni wengi wameniandama kila kona usiku na mchana 
Baba peke yangu mimi sitoweza
Mitego wameiweka kwenye njia zangu Yesu
Baba peke yangu mimi sitoweza

Wengine ni wa karibu yangu
Eeh baba unisaidie 
Wengine ni wa nyumbani mwangu
We baba unisaidie

Wengine ni wa karibu yangu
Eeh baba unisaidie 
Wengine ni wa nyumbani mwangu
We baba unisaidie

Vita si vyangu ni vyako baba pigana nao
Peke yangu mimi sitoweza
Watesi wangu baba wawe watesi wako shindana nao
Peke yangu mimi sitoweza

Nina haja nawe, ndio maana niko hapa
Nina haja nawe, ndio maana niko hapa
Nina haja nawe, ndio maana niko hapa
Nina haja nawe, ndio maana niko hapa

Nina haja nawe, ndio maana niko hapa
Nina haja nawe, ndio maana niko hapa
Nina haja nawe, ndio maana niko hapa
Nina haja nawe, ndio maana niko hapa