DOWNLOAD NIVUSHE- JE UKO TAYARI? BY SIFAELI MWABUKA - MP3, MP4 & LYRICS

Title Nivushe- Je Uko Tayari?
Artists Sifaeli Mwabuka
Genres Gospel
Country Tanzania

Nivushe- Je Uko Tayari? Lyrics

Ninao ujumbe kutoka kwa mungu
Ninao ujumbe kutoka kwa Baba
Ninao ujumbe nimepewa na mungu mwenyewe
Ninao ujumbe umetoka kwa Baba Jehovah
Nimeleta ujumbe
Ujumbe niliopewa ni kwaajiri yako ooh
Ujumbe nilioagizwa nivushe ng’ambo nyrngine eeh
Ujumbe niliopewa ni kwaajiri yako ooh
Ujumbe nilioagizwa nivushe ng’ambo nyrngine eeh
Nimeleta ujumbe

Kwamba huzuni yako mungu ameiyona
Ni kwamba kilio chako mungu amekisikia aah
Ni kwamba mateso yako oh, mungu ameyaona aah
Ni kwamba msiba wako mungu ameusikia aah
Ni kwamba magonjwa yako mungu ameyaona aah
Mungu anataka akuvushe ng’ambo nyengine eeh
Mungu anataka aifute aibu yako
Mungu anataka akuvushe ng’ambo nyengine aah
Mungu anataka aifute aibu yako yeah
Nimeleta ujumbe
Utoke kwenye kilio, uwende kwenye kicheko
Utoke kwenye magonjwa aah, uwende kwenye afya aah
Utoke kwenye umauti
Uwende kwenye uzima
Utoke kwenye mzigo
Uwende kwenye sherehe eeh
Nimeleta ujumbe

Je uko tayari, kwenda ng’ambo nyengine (amin)
Je uko tayari, umwambie Baba (amin)
Je uko tayari, kwenda ng’ambo nyengine (amin)
Je uko tayari, umwambie Baba (mwambie eeh)
Univushe eeh
Niende ng’ambo nyengine (ooh ng’ambo nyengine eeh)
Univushe eeh (mwambie Baba)
Niende ng’ambo nyengine (mateso sio sehemu yako)
Univushe eeh (mwambie eeh)
Niende ng’ambo nyengine (umasikini sio ndoto yako)
Univushe eeh (mwambie Baba)
Niende ng’ambo nyengine (ng’ambo ya Baraka zako ooh)
Univushe eeh (mwambie Baba)
Niende ng’ambo nyengine (ng’ambo ya muujiza wako ooh)
Univushe eeh (mwambie Baba)
Niende ng’ambo nyengine (ooh akuvushe eeh)

Ooh habari za kale mungu ameshasahau
Lengo lake eeh, akufanye kiumbe kipya
Habari za kudharauliwa mungu ameshasahau
Lengo lake eeh, akuletee heshima
Habari za kudharauliwa mungu ameshasahau
Lengo lake eeh, akupatie kibali
Habari za umasikini, mungu ameshasahau
Lengo lake eeh, anataka kubariki
Habari za utasa aah, mungu ameshasahau
Lengo lake eeh, akupatie mtoto ooh
Habari za upweke wako mungu ameshasahau
Lengo lake Baba aah, akupatie mwenza wako ooh
Nimeleta ujumbe

Je uko tayari, hebu mwambie Baba (amin)
Je uko tayari, kwenda ng’ambo nyengine (amin)
Je uko tayari, hebu mwambie Baba (amin)
Je uko tayari, kwenda ng’ambo nyengine (mwambie eeh)
Univushe eeh
Niende ng’ambo nyengine (ooh ng’ambo nyengine eeh)
Univushe eeh (mwambie Baba)
Niende ng’ambo nyengine (mateso sio sehemu yangu)
Univushe eeh (mwambie eeh)
Niende ng’ambo nyengine (umasikini sio ndoto yangu)
Univushe eeh (mwambie Baba)
Niende ng’ambo nyengine (ng’ambo ya Baraka zako ooh)
Univushe eeh (mwambie Baba)
Niende ng’ambo nyengine (ng’ambo ya muujiza wako ooh)
Univushe eeh (mwambie Baba)
Niende ng’ambo nyengine (ooh akuvushe eeh)

Mwambie eeh