DOWNLOAD LENGA BY SIZE 8 REBORN, WILLY PAUL - MP3, MP4 & LYRICS

Lenga Lyrics

Ayayayaya (Saldido)
Brabadandandan 
Ayayayaya (Teddy B)

Ooh mbona wewe size 8 
Nikipiga simu kwani we unanilenga
Unapea simu Shamir aniambie sio sahii
We injili ulilenga, pepo ulipenda
Na vile Yesu ametenda 
We ukamlenga Willy

Si unajua sahii nyimbo zangu za sahii zimehit
Usijifanye hujaskia nabii 
Hata madem wameninoi times 3

Sisikizangi ma secular, rudi kwa baba anakuita
Sisikizangi ma dunia, rudi kwa baba anakuita

Kuna haja gani nikae ndani
Wakati kila mtu hanitaki ndani?
Ni nani huyo hataki ukae ndani?
Ni nani huyo ebu sema Willy
Maneno maneno we achia Mungu
Mapenzi ya Mungu ndio muhimu

Ooh mbona wewe size 8 
Nikipiga simu kwani we unanilenga
Unapea simu Shamir aniambie sio sahii
We injili ulilenga, pepo ulipenda
Na vile Yesu ametenda 
We ukamlenga Willy

Nilikukanya usipende wawili
Unawatoto na wawili
Usijali naombagaga, ni magoti napiga ga
Kwa siri kadada naombagaga
Oooh naombagaga

Usidanganywe na mauno
Ni kazi napiga huko
Hypocrites wamejificha huko
Kwa  mateke wakwende huko

Shetani alikudanganya (No)
Ukajichanga (No)
Kwa Yesu kunalipanga 
Ukicheza moto utajipanga

Hii injili sijalenga
Na pepo sijapenda
Ni Yesu ninalipa (Nalipa)

Ooh mbona wewe size 8 
Nikipiga simu kwani we unanilenga
Unapea simu Shamir aniambie sio sahii
We injili ulilenga, pepo ulipenda
Na vile Yesu ametenda 
We ukamlenga Willy

Ooh mbona wewe size 8 
Nikipiga simu kwani we unanilenga
Unapea simu Shamir aniambie sio sahii
We injili ulilenga, pepo ulipenda
Na vile Yesu ametenda 
We ukamlenga Willy