DOWNLOAD YESU NI MWAMBA BY SIZE 8 REBORN - MP3, MP4 & LYRICS

Title Yesu ni Mwamba
Artists Size 8 Reborn
Genres Gospel
Country Kenya

Yesu ni Mwamba Lyrics

Eeh mimi Size 8 eeh
Habari njema ninayo ya Yesu

Yesu ni mwamba mwamba salama
Nikisimama niko salama
Yesu ni mwamba mwamba salama
Nikisimama niko salama

Habadiliki, habadiliki Yesu
Nikisimama niko salama
Habadiliki, habadiliki Yesu
Nikisimama niko salama

Imani niliweka kwa pesa
Niliweka kwa watu mimi moyoni
Imani niliweka kwa penzi
Niliweka kwa mali mimi moyoni

Niliumia umia umia
Nikafinyika finyika finyika
Nikajua mwenye anategemea binadamu
Eeeh amelaaniwa

Yesu ni mwamba mwamba salama
Nikisimama niko salama
Yesu ni mwamba mwamba salama
Nikisimama niko salama

Habadiliki, habadiliki Yesu
Nikisimama niko salama
Habadiliki, habadiliki Yesu
Nikisimama niko salama

Za dunia ni pata potea (Pata Potea)
Leo unayo kesho hauna
Moyo unadunda dunda
Unashinda ukiwaza nini wee
Wachana na za dunia

Jifiche kwenye mwamba
Yesu ndiye mwamba habadiliki
Yesu ndiye mwamba 
Jifiche kwenye mwamba
Yesu ndiye mwamba habadiliki
Yesu ndiye mwamba

Yesu ni mwamba mwamba salama
Nikisimama niko salama
Yesu ni mwamba mwamba salama
Nikisimama niko salama

Habadiliki, habadiliki Yesu
Nikisimama niko salama
Habadiliki, habadiliki Yesu
Nikisimama niko salama