DOWNLOAD CHUZI LIMEMWAGIKA BY SNURA - MP3, MP4 & LYRICS

Title Chuzi Limemwagika
Artists Snura
Genres Bongo Flava Singeli
Country Tanzania

Chuzi Limemwagika Lyrics

Jamani chuzi hilo
Mmeliona chuzi hilo
Oneni chuzi hilo
Wanangu chuzi hilo

Macho kodo linapopota
Dodo di dodo linavyopwita pwita
Wanashangaa linavyotingishika eeh
Wakiliona wanataka kushika

Jamani chuzi hilo (Limemwagika)
Mmeliona chuzi hilo (Limemwagika)
Jamani chuzi hilo (Limemwagika)
Mmeliona chuzi hilo (Limemwagika)

Snura mmemuona
Anavyocheza mmemuona?
Na yule mmemuona anavyokata mmemuona?
Wanangu mmemuona jamani mmemuona?
Nasema mmemuona, na yule mmemuona?

Ukilitia mhogo linanoga je
Ukitia matembele linanoga je

Na lile, na lile 
Na lile, na lile

Wa mbele anacheza, wa nyuma anambaishia
Na wa chini anakaa, wa juu anamkalia 
Wa mbele anacheza, wa nyuma anambaishia
Na wa chini anakaa, wa juu anamkalia

Kila siku anadanga kupenda offer za bia
Kajitia kiranga chuzi limemwagikia
Kila siku anadanga kupenda offer za bia
Kajitia kiranga chuzi limemwagikia

Haya sasa zamu ya watoto
Wa mwananyamala kulimwaga chuzi
Na lile, na lile 
Wako wapi watoto wa kinondoni
Mwageni chuzi

Jamani chuzi hilo (Limemwagika)
Mmeliona chuzi hilo (Limemwagika)
Watoto wa Magomeni mpo
Na lile, na lile

Haya watoto wa Mguruni
Sijaona sijaona sijaona 
Jamani chuzi hilo (Limemwagika)
Mmeliona chuzi hilo (Limemwagika)

Aah, jamani nini tena
Hatujaskia watoto wa Buza
Aah mnataka watoto wa Mpalange?
Basi sawa

Na lile, na lile 
Na lile, na lile