DOWNLOAD AHADI BY SOUNDS OF WORSHIP - MP3, MP4 & LYRICS

Ahadi Lyrics

Akisema, atatenda
Ni jambo gani hilo alokuahidi we
Si mwanadamu, adanganye
Yesu, jina lake

Ahadi zake, huyu Yesu
Zitatimia, Huyu Yesu
Si mwanadamu, adanganye
Yesu jina lake

Akiahidi, ni mwaminifu
Kwa kweli njia zake, si kama zetu
Ni mwaminifu, ni mwaminifu
Yesu, Jina lake

Ahadi zake, huyu Yesu
Zitatimia, Huyu Yesu
Si mwanadamu, adanganye
Yesu jina lake