DOWNLOAD LISTEN BY STEVE RNB - MP3, MP4 & LYRICS

Listen Lyrics

Mchumba wangu nikiskiza
Mi moyoni naskia raha
Kiukweli unanimaliza
Kwa we mama

Nikiimba unaimba
Nikicheza unacheza na
Tabasamu unalonipa 
Ni furaha yeah

Nikiwa nawe siku inapita
Nasubiri kesho ikifika
Niwe nawe wangu malaika
Wangu malaika

Ukiniacha we
Sitamani tena mwingine
You are my everything beiby
Popote ulipo

Listen to my song beiby
Listen to my song beiby
Listen to my song beiby

Wangu wenye siri
Siri zote za rohoni
Sikia sauti kila uendapo
Nikueleze nakupenda

We ndo number 1
Vile naskia raha
Kuwa karibu nawe
Ni faraja maishani mwangu

(Beiby listen to the song)

Nikiwa nawe siku inapita
Nasubiri kesho ikifika
Niwe nawe wangu malaika
Wangu malaika

Ukiniacha we
Sitamani tena mwingine
You are my everything beiby
Popote ulipo

Listen to my song beiby
Listen to my song beiby
Listen to my song beiby

Beiby listen to the song
Listen to my song popote ulipo
Beiby listen to love song
Listen to my song na ujumbe mzito

Nataka ufurahi
Ucheze nami tena
Beiby ujidai
Oh love

Nataka ufurahi
Ucheze nami tena
Beiby ujidai
Oh love love love

Listen to the song beiby
Listen to my song beiby
Listen to the song beiby
Listen to my song beiby

Listen to the song beiby
Listen to my song beiby
Listen to the song 
Listen to the song yeah