DOWNLOAD POLE POLE BY SUSUMILA - MP3, MP4 & LYRICS

Pole Pole Lyrics

Sultan 001
Maradhi ya tumbo mwili
Wanitetemeka baridi najisikiaga
Moyo ama akili kili wapi nitaweka
We ulishaniachaga

Hey, hakuna mkamilifu wote tunakosea
Kuwa na huruma usinihukumu
Kwa yangu madhaifu unanionea
Nina moyo sio chuma

Nitakupaje vichenji cheji sina hela
Nikupeleke Mombasa Zenji mi nikakwela
Usione kama sipendi, upendeze madera
Penzi lako limenifunga ka niko jela

Bora ungeniacha
Pole pole, pole pole, pole pole
Japo ningeteseka, ungeniacha taratibu
Pole pole, pole pole, pole pole

Aibu nimeachwa sijui wapi nitaificha sura
Limevuja pakacha sina ujanja sungura
Uko radhi marafiki wanicheke kila napopita
Snapchat pachungu

Sa kwanini unitese kutwa vijembe Insta
Hebu muogope Mungu

Twaishi ki adui, kosa silijui
Nawaza siambui
Kama simba na chui, gali na tui
Nimekuwa adui

Bora ungeniacha
Pole pole, pole pole, pole pole
Japo ningeteseka, ungeniacha taratibu
Pole pole, pole pole, pole pole

Mwenzako nateseka (Bado)
Bila wewe naboeka (Bado)
Nanuna nacheka (Bado)
Wooh (Bado)

Bado nasononeka (Bado)
Silali naweweseka (Bado)
Mara kitanda kwa mkeka (Bado)
Wooh (Bado)