DOWNLOAD TANTARIRA - MP3, MP4 & LYRICS

Title Tantarira
Artists
Genres Afrobeat
Country Kenya

Tantarira Lyrics

Excuse me 
Nimepata kampenzi
Ananipa raha nyingi
Na kunienzi

Excuse me 
Nimepata kampenzi
Ananipa raha nyingi
Na kunienzi

Jamani wee, unanijulia
Kila nitakacho mimi wanipatia
Jamani wee, unanijulia
Kila nitakacho mimi wanipatia

Hujachelewa chelewa, mimi ni wako
Umenogewa sitoki kwako
Hujachelewa chelewa, mimi ni wako
Umenogewa sitoki kwako

Umenifanya niwe, tantarira aah, rira aah
Umenifanya niwe, tantarira aah, rira aah
Umenifanya wee, mimi nipagawe, tantarira aah
Umenifanya wee, mimi nipagawe, tantarira aah

Hapendi nikiwa na stress
Anapenda nikitabasamu
Anipa mapenzi moto moto

Hapendi nikiwa na stress
Anapenda nikitabasamu
Anipa mapenzi moto moto

Anajua kunipa ham
Mwishowe matam tam
Hajafeli ni wa ukweli
Napata daily

Yeye kwangu ni daktari
Tiba yake nakubali
Hajafeli ni wa ukweli
Napata daily

Jamani wee, unanijulia
Kila nitakacho mimi wanipatia
Jamani wee, unanijulia
Kila nitakacho mimi wanipatia

Nimeshiba sina njaa
Kila siku raha
Kwake si karaha

Ananipenda kila saa
Sitomnyanyanya paa
Popote tutapaa