DOWNLOAD WIMBO WA TAIFA TANZANIA (SWAHILI) BY TANZANIA - MP3, MP4 & LYRICS

Title Wimbo wa Taifa Tanzania (Swahili)
Artists Tanzania
Genres Anthem
Country Tanzania

Wimbo wa Taifa Tanzania (Swahili) Lyrics

[Stanza 1]
Mungu ibariki Africa
Wabariki Viongozi wake
Hekima Umoja na
Amani Hizi ni ngao zetu
Afrika na watu wake

[Chorus]
Ibariki Afrika
Ibariki Afrika
Tubariki watoto wa Afrika

[Stanza 2]
Mungu ibariki Tanzania
Dumisha uhuru na Umoja
Wake kwa Waume na Watoto
Mungu Ibariki Tanzania na watu wake

[Chorus]
Ibariki Tanzania
Ibariki Tanzania
Tubariki watoto wa Tanzania