DOWNLOAD 420 BY THE BAND BECA - MP3, MP4 & LYRICS

420 Lyrics

Quarantine quarantine zone 
Hizi social distance tings zinaboo
I can be your medicine ukiwa indoors 
Leo ni 420 na mimi ndio form

Call me your highness
Nakupa kila kitu yaani finest 
Cloud nine yaani niceness 
I’m your mary jane I’m the baddest yeah

Nishikilie usiniachilie 
Niku seti kwenye mood ujiskizie
Nishikilie usiniachilie niku seti 
Kwenye mood ujiskizie

Puff puff blow
Puff puff blow 
Leo 420 tuko 
Puff puff zone

Puff puff blow
Puff puff blow 
Leo 420 tuko 
Puff puff zone

Washa washa washa washa na iwake
Uliza pedi wako mi ni mali safi
Highgrade, upgrade, shashamane
Highgrade, upgrade, utatamane

Washa washa washa washa na iwake
Uliza pedi wako mi ni mali safi
Highgrade, upgrade, shashamane
Highgrade,upgrade, utatamane

Puff puff blow 
Puff puff blow
Leo 420 tuko 
Puff puff zone

Puff puff blow 
Puff puff blow
Leo 420 tuko 
Puff puff zone