DOWNLOAD KINDANI NDANI BY THE BAND BECA - MP3, MP4 & LYRICS

Title Kindani Ndani
Artists The Band Beca
Genres Afropop
Country Kenya

Kindani Ndani Lyrics

Hey hey, he..y Band Beca
(It's Hamado on the Beat)

Hisia zangu aah 
Zanikumbusha huyu jamaa
Na huu mwili wangu aaah
Unatamani kushikwa shikwa

Nilizoea, mapenzi yako 
Hayo matamu 
Na nilizoea
Ujuzi wako wa kistaarabu

Aaah! Mapenzi yetu yaliyonawiri
Aaah! Lakini sasa umbali na mimi

Naumia, naumia
Nikikumbuka mi nalia
Naumia, naumia
Nikikumbuka mi nalia

Aii mi inaniuma
Kindani ndani, kindani ndani
Nimejawa majuto
Kindani ndani, kindani ndani

Aii mi inanichuna
Kindani ndani, kindani ndani
Nimejawa majuto
Kindani ndani, kindani ndani

Sikudhania ungempenda mwingine
Sikutarajia ungenisahau mimi
Au ningeomba nafasi tuzungumze beiby
Ningepata nafasi nafsi yangu itulie

Aaah! Mapenzi yetu yaliyonawiri
Aaah! Lakini sasa umbali na mimi

Naumia, naumia
Nikikumbuka mi nalia
Naumia, naumia
Nikikumbuka mi nalia

Aii mi inaniuma
Kindani ndani, kindani ndani
Nimejawa majuto
Kindani ndani, kindani ndani

Aii inanichuna
Kindani ndani, kindani ndani
Nimejawa majuto
Kindani ndani, kindani ndani

Kindani ndani, kindani ndani
Oooh ninaumia 
Kindani ndani, kindani ndani
Oooh ninateseka, ooh beiby
Kindani ndani, kindani ndani

Kindani ndani, kindani ndani
Oooh mimi nalia
Kindani ndani, kindani ndani
Oooh rudi nyumbani

(A Naiboi Worldwide)