DOWNLOAD MAPITO BY THT - MP3, MP4 & LYRICS

Mapito Lyrics

Wanauliza nitawezaje
Hakika mi ni mwamba
Wanionaje

Kilipita kiza
Leo mwangaza eeh
Nafsi inasherekea
Moyo wajigamba

Nawe, usiruhusu mapito
Yaende nawe
Yaache mapito
Usiende nayo

Nawe, usiruhusu mapito
Yaende nawe
Yaache mapito
Usiende nayo

Unaweza kukumbana na dhuluba
Usiruhusu zika kuvuruga
Sina mitihani shida kawaida ee
Amaaa

Mara nyingine mapito
Yanakupa siri ya kesho
Mara nyingine mapito
Huenda ni kipimo chako

Usiruhusu mapito
Yaende nawe
Yaache mapito
Usiende nayo

Usiruhusu mapito
Yaende nawe
Yaache mapito
Usiende nayo

Subira wee
Nina ushindi mkubwa ndani
Aliyesimamisha bingu baba
Kamwe hajaniacha njiani

Ningekata tamaa
Sidhani kama ningekuwepo hapa
Japo mdogo mdogo
Lakini sijatoka kapa

Bado napambana
Napambana
Bado napambana

Ushindi ni pale pale (Pale pale)
Kwa nguvu ile ile 
Aah ni pale pale (Pale pale)
Kwa nguvu ile ile

Mara nyingine mapito
Yanakupa siri ya kesho
Mara nyingine mapito
Huenda ni kipimo chako

Usiruhusu mapito
Yaende nawe
Yaache mapito
Usiende nayo

Usiruhusu mapito
Yaende nawe
Yaache mapito
Usiende nayo