DOWNLOAD MOTO WA TIPA BY TMK MAANDISHI MATATU - MP3, MP4 & LYRICS

Moto Wa Tipa Lyrics

Njaa ya nature kwenye chorus
Njaa ya Temba kwenye verse
Producer kazi kwako mashabiki wamekaa kitako
Temeke mabegani, Temeke ndo nyumbani
Snitch wapigie polisi waambie waje tumewamisi

Waje na farunyunyu wakatuswage korokoroni
Temeke si ndo home utatuacha kama tulivyo
Utatutishia pistol tweke wapi au disco
Weusi wamekuwa wekundu tumerudi wanalisaka tundu
Msilie msile mtulie dawa iwaingie
Hili dude lina usumbufu mjue

Huu ni moto wa tipa tunakimbiza
Tukija kwa mic kujeni vita
Ni elfu tatu tuu (TMK)
Maandishi matatu tu (TMK)

Huu ni moto wa tipa tunakimbiza
Tukija kwa mic kujeni vita
Ni elfu tatu tuu (TMK)
Maandishi matatu tu (TMK)

--
--