DOWNLOAD NISHAZAMA BY TOMMY FLAVOUR - MP3, MP4 & LYRICS

Nishazama Lyrics

Oooh mama mama mama
Ooh beiby yeah

Umenichanjia damu, labda ni asho
Mbona walokuacha nyuma watajilaumu
Eh wanatujaza su, tutengane so
Na moyo unanisukuma kukuacha ngumu

Kama ungelikuwa salio
Ningekujaza on my phone
Upendo nijaze kwa kilo
Nitosheke nawe my love

Kama ungelikuwa salio
Ningekujaza on my phone
Ujihisi wa pekee darling oo
Oooh ooh

Nishazama mazima kwako beiby (Aah aah)
Nakutwisha upendo na moyo beiby (Aah aah)
Nishazama mazima kwako beiby (Aah aah)
Nakutwisha upendo na moyo beiby (Aah aah)

She is rocking my body na usiku silali
She calls me and sugar, ananivuruga
Akanishika kweli kweli, I just wanna marry marry her 
Kwake siwezi feli, ndo kwanza ninazidi kweli

Kama ungelikuwa salio
Ningekujaza on my phone
Upendo nijaze kwa kilo
Nitosheke nawe my love

Kama ungelikuwa salio
Ningekujaza on my phone
Ujihisi wa pekee darling oo
Oooh ooh

Nishazama mazima kwako beiby (Aah aah)
Nakutwisha upendo na moyo beiby (Aah aah)
Nishazama mazima kwako beiby (Aah aah)
Nakutwisha upendo na moyo beiby (Aah aah)