DOWNLOAD NASUBIRI MALANGONI BY TUMAINI AKILIMALI - MP3, MP4 & LYRICS

Title Nasubiri Malangoni
Artists Tumaini Akilimali
Genres Gospel
Country Kenya

Nasubiri Malangoni Lyrics

Nangojea malangoni pako
Nasubiri malangoni pako
Nangojea malangoni pako
Nasubiri malangoni pako
Yesu wee

Nangojea malangoni pako
Nasubiri malangoni pako
Nangojea malangoni pako
Nasubiri malangoni pako

Niende wapi nikwache wewe, Yesu Uu uu
Wewe unalo neno la maisha
Niende wapi nikwache wewe, Yesu Uu uu
Wewe unalo neno la maisha
Niende wapi nikuache wewe
Unayejua nitokako na niendako

Nangojea malangoni pako
Nasubiri malangoni pako
Nangojea malangoni pako
Nasubiri malangoni pako

Basi ni bora maana yeye angojeaye
Hutarajia kupata kitu
Basi usiwe na haraka, mpendwa mwenzangu
Aliyewatendea wengine atakutendea
Basi usiwe na haraka, mpendwa mwenzangu
Aliyewainua wengine, atakuinua
Basi usiwer na haraka
Aliyebariki wengine, atakubariki pia

Nangojea malangoni pako
Nasubiri malangoni pako
Nangojea malangoni pako
Nasubiri malangoni pako