DOWNLOAD NI WEWE WA KUABUDIWA BY TUMAINI AKILIMALI - MP3, MP4 & LYRICS

Title Ni Wewe wa Kuabudiwa
Artists Tumaini Akilimali
Genres Gospel
Country Kenya

Ni Wewe wa Kuabudiwa Lyrics

Ni wewe wa kuabudiwa ni wewe
Ni wewe wa kuabudiwa ni wewe
Wa kupewa sifa na utukufu na heshima ni wewe
Mwenye nguvu na uweza ni wewe

Uufanye moyo wangu uwe wa kukuabudu baba yangu
Yafanye maisha yangu yawe ya kukusifu wewe
Maana mpweke wastahili heshima na utukufu
Mwenye nguvu na uweza ni wewe
Peke yako wastahili heshima na utukufu
Mwenye nguvu na heshima ni wewe

Ni wewe wa kuabudiwa ni wewe
Ni wewe wa kuabudiwa ni wewe
Wa kupewa sifa na utukufu na heshima ni wewe
Mwenye nguvu na uweza ni wewe
Wa kupewa sifa na utukufu na heshima ni wewe
Mwenye nguvu na uweza ni wewe

Ni wewe wa kuabudiwa ni wewe
Ni wewe wa kuabudiwa ni wewe
Wa kupewa sifa na utukufu na heshima ni wewe
Mwenye nguvu na uweza ni wewe
Wa kupewa sifa na utukufu na heshima ni wewe
Mwenye nguvu na uweza ni wewe
Wa kupewa sifa na utukufu na heshima ni wewe
Mwenye nguvu na uweza ni wewe

Nilizaliwa mimi kwa neeema yako
Niliumbwa baba kwa mfano wako.
Yanipasa nikutumikie wewe pekee
Maana wewe tu ni mwenye nguvu na uweza