DOWNLOAD NISIZAME BY TUMAINI AKILIMALI - MP3, MP4 & LYRICS

Nisizame Lyrics

Nisizame Yesu, uniokoe
Nisizame Yesu, uniokoe  
Nisizame uniokoe
Nisizame uniokoe

Nisizame Yesu, uniokoe
Nisizame Yesu, uniokoe  
Nisizame uniokoe
Nisizame uniokoe

Magonjwa yananiandama
Hospitali zote nimaliza
Kupona sijapona
Magonjwa yananiandama

Madaktari wote nimemaliza
Kupona sijapona
Njoo haraka unisaidie, nisizame
Uje hima unikoe, nisizame

Nisizame Yesu, uniokoe
Nisizame Yesu, uniokoe  
Nisizame uniokoe
Nisizame uniokoe

Nisizame Yesu, uniokoe
Nisizame Yesu, uniokoe  
Nisizame uniokoe
Nisizame uniokoe

Naona huduma hii imekuwa nzito
Naona huduma hii Baba yangu kama ni mzigo
Naona huduma hii imekuwa nzito
Umekuwa kama mwiba
Lakini nakuita unisaidie, nisizame
Nisizame Baba, nisizame

Nisizame Yesu, uniokoe
Nisizame Yesu, uniokoe  
Nisizame uniokoe
Nisizame uniokoe

Nisizame Yesu, uniokoe
Nisizame Yesu, uniokoe  
Nisizame uniokoe
Nisizame uniokoe

Elimu nimemaliza
Kazi nimetafuta, nimekosa
Mwenye nyumba naye amekukuja
Akidai kodi ya nyumba

Hata shilingi mimi sina
Nimejaribu kuomba kwa majirani
Ndugu zangu wote hakuna msaada
Marafiki zangu, hakuna msaada
Ni wewe tu msaada wangu

Nisizame
Hili ni ombi langu, nisizame

Nisizame Yesu, uniokoe
Nisizame Yesu, uniokoe  
Nisizame uniokoe
Nisizame uniokoe

Nisizame Yesu, uniokoe
Nisizame Yesu, uniokoe  
Nisizame uniokoe
Nisizame uniokoe