DOWNLOAD UMENIBEBA BY TUMAINI AKILIMALI - MP3, MP4 & LYRICS

Umenibeba Lyrics

Haijawa rahisi kufika hapa
Ni mkono wa Mungu umenibeba
Haijawa rahisi kufika hapa
Ni mkono wa Mungu umenibeba

Umenibeba, umenibeba
Ni mkono wa Mungu umenibeba
Umenibeba, umenibeba
Ni mkono wa Mungu umenibeba

Hakuna kitu nzuri
Kama kuweka imani ndani ya Mungu
Hakuna jambo nzuri
Kama kuweka imani ndani ya Mungu

Yeye hajui dissapointment
Yeye haelewi kuvunja moyo
Kumtegemea huepusha mambo mengi
Kumtumainia kunasaidia

Haijawa rahisi kufika hapa
Ni mkono wa Mungu umenibeba
Haijawa rahisi kufika hapa
Ni mkono wa Mungu umenibeba

Umenibeba, umenibeba
Ni mkono wa Mungu umenibeba
Umenibeba, umenibeba
Ni mkono wa Mungu umenibeba

Mungu napenda unavyofanya ahadi zako
Kwanza huwezi ahidi ukose kutimiza
Mungu napenda unavyofanya ahadi zako
Kwanza huwezi ahidi ukose kutimiza

Haijawa rahisi kufika hapa
Ni mkono wa Mungu umenibeba
Haijawa rahisi kufika hapa
Ni mkono wa Mungu umenibeba

Umenibeba, umenibeba
Ni mkono wa Mungu umenibeba
Umenibeba, umenibeba
Ni mkono wa Mungu umenibeba

Umenibeba, umenibeba
Ni mkono wa Mungu umenibeba
Umenibeba, umenibeba
Ni mkono wa Mungu umenibeba