DOWNLOAD NENDA BY WAHU - MP3, MP4 & LYRICS

Title Nenda
Artists Wahu
Genres Afropop
Country Kenya

Nenda Lyrics

Unawaponya wagonjwa na wenye vifafa
Vipofu na vilema
Hata niwe na shida zenye utatata
Miujiza unatenda
Wacha nikuiite Yahweh
Mfalme wa wafalme
Hakuna kama wewe uhimidiwe Bwana

Oh moyo Yahweh ninataka nifanane nawe
Wema wako Ninataka nifanane nawe
Oh Yahweh Ninataka nifanane nawe

Wengine wanashindwa vumilia kwako
Wanaenda kuchawiya kipato
Hawajui fahari ni wewe utajiri wako wa milele
Mbinguni na duniani oh Baba

Unawaponya wagonjwa na wenye vifafa
Vipofu na vilema
Hata niwe na shida zenye utatata
Miujiza unatenda
Wacha nikuiite Yahweh
Mfalme wa wafalme
Hakuna kama wewe uhimidiwe Bwana

Oh moyo Yahweh Ninataka nifanane nawe
Wema wako Ninataka nifanane nawe
Oh Yahweh Ninataka nifanane nawe

I want to be just like You Ninataka nifanane nawe
To be like you ninataka nifanane
Oh Yahweh ninataka nifanane