DOWNLOAD SHIDA NDOGO NDOGO BY WHOZU - MP3, MP4 & LYRICS

Title Shida Ndogo Ndogo
Artists Whozu
Genres Bongo Flava Rap
Country Tanzania

Shida Ndogo Ndogo Lyrics

Whozu - Shida Ndogo Ndogo

Sina shida ndogo ndogo 
Jasho langu faida kwangu aisee
Sina shida ndogo ndogo 
Nadili na mishe zangu mchana usiku

Sina shida ndogo ndogo 
Tupa jero nikasirike nikupe buku
Sina shida ndogo ndogo 
Shida

Msije shtuka mkiniona

Sina shida ndogo ndogo shida
Sina  shida ndogo ndogo shida
Sina  shida ndogo ndogo shida
Sina  shida ndogo ndogo shida

Huna cha kufanya njoo kwangu nikupe mishe
Umeshinda njaa kaa nami nikulishe
Nitalipa deni nikukopeshe ukalipe
Wana pesa chafu waje kwangu wazisafishe

Asante Mungu kwa baraka unanielewa
Nimesha waacha sio level zao tena
Ziwe mbivu ziwe mbichi nazimenya
Ndo isha kwisha sifanani nao tena

Nimeridhika ona nilivyo nawiri
Maisha yamechange mjomba usikariri
Tambua pesa ndugu yake kiburi
Shida kwa chawa wenye pesa manguli

Sina shida ndogo ndogo 
Jasho langu faida kwangu aisee
Sina shida ndogo ndogo 
Nadili na mishe zangu mchana usiku

Sina shida ndogo ndogo 
Tupa jero nikasirike nikupe buku
Sina shida ndogo ndogo 
Shida

Msije shtuka mkiniona

Sina shida ndogo ndogo shida
Sina  shida ndogo ndogo shida
Sina  shida ndogo ndogo shida
Sina  shida ndogo ndogo shida

Sasa ni muda wa kuvimba vimba 
Na mabunda mi simbazi
Change change ni za kwenu nitake radhi
Najilipaga kwa siku siku sio mwezi
Now you know mambo yangu top
Kwangu kutesa sio kwa zam zam zam
Siwape sokose ham ham ham
Pata pesa ni masham sham sham
Oya mambo ni bam bam bam

Oooh shida zako tupa huko
Zikiisha niite
Kwenye mchezo bado mdogo 
Naomba usinitishe

Nimeridhika ona nilivyo nawiri
Maisha yamechange mjomba usikariri
Tambua pesa ndugu yake kiburi
Shida kwa chawa wenye pesa manguli

Sina shida ndogo ndogo 
Jasho langu faida kwangu aisee
Sina shida ndogo ndogo 
Nadili na mishe zangu mchana usiku

Sina shida ndogo ndogo 
Tupa jero nikasirike nikupe buku
Sina shida ndogo ndogo 
Shida

Msije shtuka mkiniona

Sina shida ndogo ndogo shida
Sina  shida ndogo ndogo shida
Sina  shida ndogo ndogo shida
Sina  shida ndogo ndogo shida