DOWNLOAD HATA HILI LINAPITA BY WILLIAM YILIMA - MP3, MP4 & LYRICS

Title Hata Hili Linapita
Artists William Yilima
Genres Gospel
Country Kenya

Hata Hili Linapita Lyrics

Hata hili linapita 
Hata hili Lina mwisho 
Hata Hili linapita
Hata hili Lina mwisho

Ni kweli napitia Kipindi kigumu 
Moyo unafadhaika 
Sina Mashaka 
Wakati mwingine nilikumbana na hatari wa kugharimu ughaibu wangu 
Mungu hakuniacha 
Mungu alinibeba hata hili Lina ukomo wake 
Bibilia linasema Nina mlango wa kutokea hata hili Lina mwisho

Majaribu haya budi kuisha 
Wajiri wa Kazi ya Mungu
Moyo wangu vumilia
Vumilia eeeeh
Vumilia jipe Moyo 
Vumilia eeeeee
Hatimaye utashinda

Vumilia Jipe Moyo 
Vumilia Vumilia Hatimaye utashinda
Ni kwa saa mingi na vitisho mbele yako 
Ndoa yako inapoumba 
Huduma yako ikapigwa Vita hivyo
Usiogope Mtetezi wako Yuko

Usiogope Vita Ni vya Bwana 
Sitaogopa Sitaogopa
Mungu Yuko nami 
Sitaogopa 
Hata Nishindwe 
Sitaogopa Sitaogopa Mungu Yuko nami 
Sitaogopa 
Hata Nishindwe sitaogopa Sitaogopa 
Atanishindia

Sitaogopa Mungu Yupo nami 
Sitaogopa Mungu ananipigania
Sitaogopa Mungu Yupo nami 
Hajawainiaibisha 
Sitaogopa Mungu Yupo nami

Sitaogopa Sitaogopa Mungu atanishindia 
Mpaka nifikishe kusudi 
Hata hili Ni mapito 
Hata Hili Ni mapisho hata hili Ni mapito 
Hata Hili Lina mwisho 
Hata Hili Lina mwisho

Hata Lina pita 
Hata hili Lina mwisho