DOWNLOAD YESU NITIE NGUVU BY WILLIAM YILIMA - MP3, MP4 & LYRICS

Title Yesu nitie nguvu
Artists William Yilima
Genres Gospel
Country Kenya

Yesu nitie nguvu Lyrics

Yesu nitie nguvu nimalize mwendo salama
Yesu nitie nguvu nimalize mwendo salama 
Yesu nitie nguvu nimalize mwendo salama
Yesu nitie nguvu nimalize mwendo salama 
Yesu wewe nitie nguvu Baba
Nimalize mwendo salama
Yesu nitie nguvu nimalize mwendo salama 
Eh Bababeh Mungu wangu
Nitie nguvu nimalize mwendo salama
Yesu nitie nguvu nimalize mwendo salama 
Nilikotoka ni mbali
Niendako karibu kufika
Nimalize mwendo wangu salama
Yesu nitie nguvu nimalize mwendo salama
Yesu wee pigana nao wanaopigana nami
Nitie nguvu ninapoishiwa nguvu
Adui zangu wakitaka kupigana nami
Njia yao iwe giza na utelezi
Wee Baba mwovu mimi akinijia
Maisha yangu yafiche ubavuni mwako 
Pigana nao wanaopigana nami
Nitie nguvu ninapoishiwa nguvu
Adui zangu wakitaka kupigana nami
Njia yao iwe giza na utelezi
Mwovu mimi akinijia
Maisha yangu yafiche ubavuni mwako
Wengine walipochoka safarini
Hakuwepo wakuwatia nguvu wakakata tamaa
Yesu wee nitie nguvu
Nimalize mwendo salama
Wengine walipojeruhiwa
Hakuwepo wakuwafunga cheraha wakafa njiani
Yesu wewe nifunge cheraha nikifjeruhiwa
Nimalize mwendo salama
Wengine walipojaribiwa walishindwa stahimili
Wakarudi nyuma
Yesu wee nitie nguvu
Nimalize mwendo salama 
Na mimi nimetoka mbali
Nimepanda milima nimeruka makorongo
Nimekanyaga miba nimekwepa mishale mingi
Lakini bado sijafika
Yesu wee nitie nguvu Yesu wee nishike mkono
Yesu wee nitie nguvu
Nimalize mwendo salama 
Yesu nitie nguvu nimalize mwendo salama
Yesu nitie nguvu nimalize mwendo salama