DOWNLOAD MURDER BY WILLY PAUL - MP3, MP4 & LYRICS

Murder Lyrics

Hahahaa
Sal di di do
Who do you think you are young man.....Pozze
Hehehehehe
Bizzi B

Eih!
Wacha niombe in tongues raka kapapa katah!
Eh!Eih!
Wacha niombe in tongues raka kapapa katah!
Eih!
Heeey...mmmmh
Wanaonijua,wanajua navyo penda mke wangu weh
Wanaonijua,wanajua navyo penda na mwana wangu pia
Wanaonijua,wanajua navyo penda familia yangu

Sababu wanataka kuni murder
Wachukue wangu mama
Me naomba unilinde
24/7 unilinde
Wanataka kuni murder
Wachukue wangu mama
Me naomba unilinde
365 unilinde

Ju me na nga'nga'na
Nipate unga
Nilishe mwana na familia
Mke wangu sina kazi
Lakini bado unanipenda
Oh baby nashangaa ulikubali vipi kuwa wangu mimi
Baby nashangaa ulikubali vipi na urembo huo wote
Wenye ma Rangi Rover
Wanataka kuni murder
Naomba unishikilie,wangu maulana
Uooooo,Uooooo
Nilinde na mke wangu
Uooooo,Uooooo
Ilinde familia yangu

Sababu wanataka kuni murder
Wachukue wangu mama
Me naomba unilinde
24/7 unilinde
Wanataka kuni murder
Wachukue wangu mama
Me naomba unilinde
365 unilinde eh eh eeeh

Eih!Eiiih!Eiii
Wacha niombe in tongues raka kapapa katah
Mke wangu amekataa deali za ma sponsor
Raka kapapa katah!
Wameshindwa kuni murder
Wacha niombe in tongues raka kapapa katah!
Familia iko bomba
Wacha niombe in tongues raka kapapa katah

Wanaonijua,wanajua navyo penda mke wangu weh
Wanaonijua,wanajua navyo penda na mwana wangu pia
Wanaonijua,wanajua navyo penda familia yangu
Uooooo,Uooooo
Nilinde na mke wangu
Uooooo,Uooooo
Ilinde familia yangu

Sababu wanataka kuni murder
Wachukue wangu mama
Me naomba unilinde
24/7 unilinde
Wanataka kuni murder
Wachukue wangu mama
'll have t take of you coward Boss out to kill Pozze
Me naomba unilinde
365 unilinde eh eh eeeh