DOWNLOAD TEMPTED BY WILLY PAUL - MP3, MP4 & LYRICS

Tempted Lyrics

Willy Pozeee....
Willy Willy willy pozeee
Ah willy pozeee......
Mmmh nananah
Mmmnnh nanananaah

Nilikuwa tempted tempted kuparty sana
sawa
Tempted tempted na wasichana
sawa
So tempted tempted temptation nimeshinda
sawa
Tempte te te te te
Tempted
Tempted
Aaih aaah aih

Napenda raha but hiyo ni balaa
Wily paul ni kijana bomba
Ibilisi amejaribu kuniweka chini
Na fatuma
Napenda raha but hiyo ni balaa
Wily paul ni kijana machachari
Ibilisi amejaribu kuniweka chini
Nimemshinda
From what i know
Ata hudda na vera hawaniwezi no
And i know the way you are falling down
It doesnt matter how many time you have fallen down
Ninajua ananipenda aah
Ananipendaa ahh

Nilikuwa tempted tempted kuparty sana
sawa
Tempted tempted na wasichana
sawa
So tempted tempted temptation nimeshinda
Sawa
Tempte te te te te
Tempted
Tempted
Aaih aaah aih

Temptaions zote ziko chini kwa chini
Chini kwa chini zote ziko chini kwa chini
Mapepo wote wako chini kwa chini
Chini kwa chini yote chini kwa chini
Madawa zote ziko chini kwa chini
Chini kwa chini yote chini kwa chini
Uchawi wote uko chini kwa chini
Chini kwa chini yote chini kwa chini
Okay stop ngoja kidogo
Ona mvuta bangi yule ameokoka
Okay stop ngoja kidogo
Wavuta bangi wale ameokoka
Ata hudda na vera hawaniwezi no

Nilikuwa tempted tempted kuparty sana
sawa
Tempted tempted na wasichana
Sawa
So tempted tempted temptation nimeshinda
sawa
Tempte te te te te
Tempted
Tempted
Aaih aaah aih