DOWNLOAD MANDINGO BY WINI - MP3, MP4 & LYRICS

Mandingo Lyrics

Beiby mwaga mbolea 
Tupalilie matuta (Tuta matuta)
Ule utam kolea 
Ziba ufa kwenye nyufa

Ooh moyo wangu waperege
Yangu maji ya mto baba
Basi chutama unibebe
Ogopa vipenda uso baba

Ooh kwako sina madingo
Madingo oooh baba (Ushanichanganya)
Umeninasa kwa ulimbo
Ulimbo mpaka

Kama mtama dokoe (Doko dokoe)
Mwali kafunzwa somo (Somo somo ee)
Wabaghala magoe (Mago magoe)
We saga nikomboe

Umeniweza na hiyo madingo 
Madingo
Yaani wewe una madingo
Madingo

Napenda unavyonisugua sugua
Ooh beiby ooh ooh sugua sugua
Kosa tupende wamesudua sudua
Ooh beiby ooh ooh sudua sudua

Ooh beiby shika guu, ooh beiby we kamua
Mpaka niseme ooh ma, ooh mama
Sururu kwa kitanda beiby vunja kitanda
Mpaka kucha hakuna kulala

Beiby wanimaliza sa utaingia kwa pango
Vigugumizi ndio tuwatoe chambo
Tui ulinyunyize kwenye chungu vikaango
Duksa nilambe hadi kwenye unyayo

Ooh kwako sina madingo
Madingo oooh baba (Ushanichanganya)
Umeninasa kwa ulimbo
Ulimbo mpaka

Kama mtama dokoe (Doko dokoe)
Mwali kafunzwa somo (Somo somo ee)
Wabaghala magoe (Mago magoe)
We saga nikomboe

Umeniweza na hiyo madingo 
Madingo
Yaani wewe una madingo
Madingo

Napenda unavyonisugua sugua
Ooh beiby ooh ooh sugua sugua
Kosa tupende wamesudua sudua
Ooh beiby ooh ooh sudua sudua

Umeniweza na hiyo madingo 
(Finest gyal)