DOWNLOAD UMENISHIKA BY WINI - MP3, MP4 & LYRICS

Title Umenishika
Artists Wini
Genres Bongo Flava
Country Tanzania

Umenishika Lyrics

Masauti, Kenyan Boy
Wini girl(Finest girl)

Mama(Umenishika shika)
(Its new Aloneym on the track)

Kama mapenzi tiba 
Basi kwako nimeshapona
Kama mapenzi hasara 
Ooh basi faida sijaiona

Kama mapenzi hesabu 
Basi kwako nimefeli
Hakika kwako mi zuzu eeh
Umenishika shika

Beiby unanicontrol
Umeniteka umeni-overdose
Tukiwa kwenye show 
Wanivuruga kabisa kama chizi

Oooh beiby unanicontrol
Na vile ukinitazama kichozi
Unanituliza fujo 
Ninakuwa mpole

Unanimaliza beiby
Umenishika shika
Sina wa kumpa maana ushanichanganya
Umenishika shika

Na moyo wangu uko nyang'a nyang'a eeh
Umenishika shika
Usije ukanikimbia ukaniachia vumbi
Umenishika shika

Tekenya tekenya, tekenya 
Tekenya tekenya, tekenya 
Tekenya tekenya, tekenya 
Tekenya tekenya, tekenya

(Ah yii)

Pongezi ziende kwa mganga
Aliyekufanya uniteke teke
Wewe umeniua kwa upanga
Tena ukanipiga kwa mateke

Umenifunga minyororo 
Na kwako sipumui
Umenifunga kabisa mdomo
Na kwako siongei

Beiby unanicontrol
Umeniteka umeni-overdose
Tukiwa kwenye show 
Wanivuruga kabisa kama chizi

Aaah beiby unanicontrol
Na vile ukinitazama kichozi
Unanituliza fujo 
Mi nawa mpole aaah

Unanimaliza beiby
Umenishika shika(Shika)
Sina wa kumpa maana ushanichanganya
Umenishika shika(Shika beiby)

Na moyo wangu uko nyang'a nyang'a eeh
Umenishika shika(Shika ooh)
Usije ukanikimbia ukaniachia vumbi
Umenishika shika

Tekenya tekenya, tekenya 
Tekenya tekenya, tekenya 
Tekenya tekenya, tekenya 
Tekenya tekenya, tekenya

Nitakupa penzi la kiKenya(Tekenya)
I go give you love vi da lover(Tekenya)
Na unapotaka nitapenya(Tekenya)
Mi ndo Kenyan boy Don dada(Tekenya)

Nitakupa penzi la kiBongo(Tekenya)
I go give you lovi da loker(Tekenya)
Na unapotaka nitapenya(Tekenya)
Am the finest girl from Tanzania(Tekenya)

(The Mix Killer)