DOWNLOAD NATAMANI NISAHAU BY WYSE - MP3, MP4 & LYRICS

Title Natamani Nisahau
Artists Wyse
Genres Bongo Flava
Country Tanzania

Natamani Nisahau Lyrics

Machozi ya damu yananichuruzika
Na wewe umeondoka
Atayafuta nani?

Mikono kichwani ninavyojikokota
Ninaweweseka
Kwako sina thamani

Napata maumivu makali
Anayenipiga simuoni
Usiku magonjwa makali
Kitanda sikitamani

Penzi umetoga mbigiri
Sikai sisimami
Chakula nahisi shubiri
Ulimi hautamani

Natamani nisahau
Natamani nisahau
Natamani nisahau
Natamani nisahau

Mapigo ya moyo
Yananienda mbioo
Ni kama msibani
Kutwa vilioo

Sioni ramani
Mbele uzioo
Umeniacha gizani
Hali yangu sio

Napata maumivu makali
Anayenipiga simuoni
Usiku magonjwa makali
Kitanda sikitamani

Penzi umetoga mbigiri
Sikai sisimami
Chakula nahisi shubiri
Ulimi hautamani

Natamani nisahau
Natamani nisahau
Natamani nisahau
Natamani nisahau