DOWNLOAD NIELEZE BY YIDI - MP3, MP4 & LYRICS

Nieleze Lyrics

Penzi kaa la moto limenichoma mama
Nimechoka chokochoko mpenzi
Na unajua fika we mi kilema
Moyo hauwezi shika magongo
Natatarika we siweri ata kuhema
Huishi longolongo
Au mapenzi hadithi mpenzi
Utamu njoo kolea
Umekaribisha wanafiki ndani ya penzi

Au mapenzi hadithi mpenzi
Utamu njoo kolea
Umekaribisha wanafiki ndani ya penzi

Nieleze, nieleze
Nishachoka utanitesa mpaka lini
Ah…  sema unataka
Nieleze, nieleze
Nishachoka utanitesa mpaka lini
Ah…  sema unataka nini

Yaani rangi nyekundu
Unafosi niione nyeupe siwezi
Umenichanganya kichwa nadataa
Penzi maruperupe
Wakunifosi kukiinamia chauvungu
Unavyovipost insta majaangaa

Au mapenzi hadithi mpenzii
Utamu njoo kolea
Umekaribisha wanafiki ndani ya penzi
Au mapenzi hadithi mpenzii
Utamu njoo kolea
Umekaribisha wanafiki ndani ya penzi

Nieleze, nieleze
Nishachoka utanitesa mpaka lini
Ah…  sema unataka nini
Nieleze, nieleze
Nishachoka utanitesa mpaka lini
Ah…  sema unataka nini
Nieleze, nieleze
Nishachoka utanitesa mpaka lini
Aaaah…  sema unataka nini
Nieleze, nieleze
Nishachoka utanitesa mpaka lini
Aaaah…  sema unataka nini